And among those We created is a group that guides with the truth and establishes justice accordingly.
Tafsirs
Layers
Lessons
Reflections
Answers
Qira'at
Hadith
Na miongoni mwa wale tuliowaumba kuna kundi la watu bora wanaoongoka kwenye haki na wanaita watu waifuate, na kwa hiyo wanahukumu na wanafanyia watu uadilifu; na wao ni viongozi wa uongofu, kati ya wale ambao Mwenyezi Mungu Amewaneemesha kwa Imani na kufanya amali njema.