اگر شکر کنید و ایمان آورید، الله چه نیازی به مجازات شما دارد؟ و الله همواره قدردانِ داناست.
تفاسیر
لایهها
درس ها
بازتاب ها
پاسخها
قیراط
حدیث
Mwenyezi Mungu hatawapa adhabu iwapo nyinyi mumefanya amali njema na mumemuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake. Kwani Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kila sifa ya upungufu, Hana haja na yoyote asiyekuwa Yeye. Yeye Atawaadhibu waja kwa makosa yao. Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwarudishia shukrani[ waja Wake kwa utiifu wao Kwake, ni Mjuzi wa kila kitu.