Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: An-Nahl 16:46

16:46
او ياخذهم في تقلبهم فما هم بمعجزين ٤٦
أَوْ يَأْخُذَهُمْ فِى تَقَلُّبِهِمْ فَمَا هُم بِمُعْجِزِينَ ٤٦
أَوۡ
يَأۡخُذَهُمۡ
فِي
تَقَلُّبِهِمۡ
فَمَا
هُم
بِمُعۡجِزِينَ
٤٦
Au hatawashika katika nyendo zao, na wala hawataponyoka? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
au adhabu haitawapata hali wakiwa wanazunguka kwenye safari zao na shughuli zao? Wao si wenye kumtangulia Mwenyezi Mungu wala kumponyoka wala kuokoka na adhabu Yake, kwani Yeye Ndiye Mwenye nguvu Ambaye hakuna chenye kumuelemea.