Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ash-Shuaraa 26:27

26:27
قال ان رسولكم الذي ارسل اليكم لمجنون ٢٧
قَالَ إِنَّ رَسُولَكُمُ ٱلَّذِىٓ أُرْسِلَ إِلَيْكُمْ لَمَجْنُونٌۭ ٢٧
قَالَ
إِنَّ
رَسُولَكُمُ
ٱلَّذِيٓ
أُرۡسِلَ
إِلَيۡكُمۡ
لَمَجۡنُونٞ
٢٧
(Firauni) akasema: Hakika huyu Mtume wenu aliye tumwa kwenu ni mwendawazimu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Fir’awn akasema kuwaambia wale watu wake makhsusi akiwapandisha ghadhabu zao, kwa kuwa Mūsā amemkanusha yeye, «Kwa kweli, huyu mjumbe wenu aliyeletwa kwenu ni mwendawazimu , asema maneno yasiyofahamika.»