Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ash-Shuaraa 26:38

26:38
فجمع السحرة لميقات يوم معلوم ٣٨
فَجُمِعَ ٱلسَّحَرَةُ لِمِيقَـٰتِ يَوْمٍۢ مَّعْلُومٍۢ ٣٨
فَجُمِعَ
ٱلسَّحَرَةُ
لِمِيقَٰتِ
يَوۡمٖ
مَّعۡلُومٖ
٣٨
Basi wakakusanywa wachawi wakati na siku maalumu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Wakakusanywa wachawi, na wakapangiwa wakati maalumu, nao ni wakati wa mchana wa siku ya Pambo ambayo wanajitenga na shughuli zao, na wanajikusanya na kujipamba, ili wakutane na Mūsā