Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ash-Shuaraa 26:43

26:43
قال لهم موسى القوا ما انتم ملقون ٤٣
قَالَ لَهُم مُّوسَىٰٓ أَلْقُوا۟ مَآ أَنتُم مُّلْقُونَ ٤٣
قَالَ
لَهُم
مُّوسَىٰٓ
أَلۡقُواْ
مَآ
أَنتُم
مُّلۡقُونَ
٤٣
Musa akwaambia: Tupeni mnavyo taka kutupa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mūsā akasema kuwaambia wachawi, akitaka kuutangua uchawi wao na kuonyesha kuwa kile alichokileta si uchawi, «Tupeni mtakavyovitupa vya uchawi.»