Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ash-Shuaraa 26:83

26:83
رب هب لي حكما والحقني بالصالحين ٨٣
رَبِّ هَبْ لِى حُكْمًۭا وَأَلْحِقْنِى بِٱلصَّـٰلِحِينَ ٨٣
رَبِّ
هَبۡ
لِي
حُكۡمٗا
وَأَلۡحِقۡنِي
بِٱلصَّٰلِحِينَ
٨٣
Mola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na watendao mema. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Ibrāhīm akasema akimuomba Mola wake, «Mola wangu! Nitunukie elimu na fahamu, na unikutanishe na watu wema, na unikusanye mimi na wao Peponi.