Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saaffat 37:110

37:110
كذالك نجزي المحسنين ١١٠
كَذَٰلِكَ نَجْزِى ٱلْمُحْسِنِينَ ١١٠
كَذَٰلِكَ
نَجۡزِي
ٱلۡمُحۡسِنِينَ
١١٠
Hivi ndivyo tunavyo walipa wanao fanya mema. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kama tulivyomlipa malipo mema Ibrāhīm kwa utiifu wake kwetu na kufuata kwake amri yetu, ndivyo tutakavyowalipa wenye kufanya wema miongoni mwa waja wetu.