Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Mursalat 77:32

77:32
انها ترمي بشرر كالقصر ٣٢
إِنَّهَا تَرْمِى بِشَرَرٍۢ كَٱلْقَصْرِ ٣٢
إِنَّهَا
تَرۡمِي
بِشَرَرٖ
كَٱلۡقَصۡرِ
٣٢
Hakika Moto huo unatoa macheche kama majumba! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika moto wa Jahanamu unarusha macheche makubwa ya moto, kila cheche moja katika hayo ni kama jengo lililoimarishwa katika ukubwa na urefu wa kuenda juu.