Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Mursalat 77:36

77:36
ولا يوذن لهم فيعتذرون ٣٦
وَلَا يُؤْذَنُ لَهُمْ فَيَعْتَذِرُونَ ٣٦
وَلَا
يُؤۡذَنُ
لَهُمۡ
فَيَعۡتَذِرُونَ
٣٦
Wala hawataruhusiwa kutoa udhuru. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
wala hawatapewa idhini ya kusema wakatoa nyudhuru, kwa kuwa hawatakuwa na udhuru wowote.