Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Aaraf 7:181

7:181
وممن خلقنا امة يهدون بالحق وبه يعدلون ١٨١
وَمِمَّنْ خَلَقْنَآ أُمَّةٌۭ يَهْدُونَ بِٱلْحَقِّ وَبِهِۦ يَعْدِلُونَ ١٨١
وَمِمَّنۡ
خَلَقۡنَآ
أُمَّةٞ
يَهۡدُونَ
بِٱلۡحَقِّ
وَبِهِۦ
يَعۡدِلُونَ
١٨١
Na katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa Haki, na kwayo wanafanya uadilifu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na miongoni mwa wale tuliowaumba kuna kundi la watu bora wanaoongoka kwenye haki na wanaita watu waifuate, na kwa hiyo wanahukumu na wanafanyia watu uadilifu; na wao ni viongozi wa uongofu, kati ya wale ambao Mwenyezi Mungu Amewaneemesha kwa Imani na kufanya amali njema.