Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Anfal 8:56

8:56
الذين عاهدت منهم ثم ينقضون عهدهم في كل مرة وهم لا يتقون ٥٦
ٱلَّذِينَ عَـٰهَدتَّ مِنْهُمْ ثُمَّ يَنقُضُونَ عَهْدَهُمْ فِى كُلِّ مَرَّةٍۢ وَهُمْ لَا يَتَّقُونَ ٥٦
ٱلَّذِينَ
عَٰهَدتَّ
مِنۡهُمۡ
ثُمَّ
يَنقُضُونَ
عَهۡدَهُمۡ
فِي
كُلِّ
مَرَّةٖ
وَهُمۡ
لَا
يَتَّقُونَ
٥٦
Wale ambao miongoni mwao umepatana nao ahadi, kisha wanavunja ahadi yao kila mara, wala hawamchi Mungu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Miongoni mwa wabaya hao ni Mayahudi ambao waliingia pamoja na wewe katika mapatano kwamba hawatakupiga vita wala hawatamsaidia yoyote dhidi yako, kisha wanazivunja ahadi zao mara kwa mara hali ya kuwa wao hawamuogopi Mwenyezi Mungu.