Aali-Imran 3:12 قل للذين كفروا ستغلبون وتحشرون الى جهنم وبيس المهاد ١٢
قُل
لِّلَّذِينَ
كَفَرُواْ
سَتُغۡلَبُونَ
وَتُحۡشَرُونَ
إِلَىٰ
جَهَنَّمَۖ
وَبِئۡسَ
ٱلۡمِهَادُ
١٢
Waambie walio kufuru: Karibuni mtashindwa na mtakusanywa, mtiwe kwenye Jahannam; nako huko ni makao mabaya kabisa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sema, ewe Mtume, kuwaambia makafiri miongoni mwa Mayhudi na wengineo na wale ambao waliudharau ushindi wako katika Badr, «Nyinyi mtashindwa duniani na mtakufa ukafirini, na mtakusanywa mpelekwe kwenye Moto wa Jahanamu, ambao utakuwa ni tandiko la milele kwenu; tandiko baya sana ni hilo.»
Sema, ewe Mtume, kuwaambia makafiri miongoni mwa Mayhudi na wengineo na wale ambao waliudharau ushindi wako katika Badr, «Nyinyi mtashindwa duniani na…