Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Aali-Imran 3:127

3:127
ليقطع طرفا من الذين كفروا او يكبتهم فينقلبوا خايبين ١٢٧
لِيَقْطَعَ طَرَفًۭا مِّنَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَوْ يَكْبِتَهُمْ فَيَنقَلِبُوا۟ خَآئِبِينَ ١٢٧
لِيَقۡطَعَ
طَرَفٗا
مِّنَ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُوٓاْ
أَوۡ
يَكۡبِتَهُمۡ
فَيَنقَلِبُواْ
خَآئِبِينَ
١٢٧
Haya ni kwa ajili awakate sehemu katika walio kufuru, au awahizi wapate kurejea nyuma nao wamepwelewa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na ilikuwa nusura ya Mwenyezi Mungu katika vita vya Badr ni kwa ajili Apate kukiangamiza kikundi cha makafiri kwa kuuawa na yule atakayeokoka na kifo kati yao, basi atarudi akiwa na huzuni, upetwe na dhiki za nafsi yake na unaonekana kwake utwevu na aibu.