Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Aali-Imran 3:177

3:177
ان الذين اشتروا الكفر بالايمان لن يضروا الله شييا ولهم عذاب اليم ١٧٧
إِنَّ ٱلَّذِينَ ٱشْتَرَوُا۟ ٱلْكُفْرَ بِٱلْإِيمَـٰنِ لَن يَضُرُّوا۟ ٱللَّهَ شَيْـًۭٔا وَلَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌۭ ١٧٧
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
ٱشۡتَرَوُاْ
ٱلۡكُفۡرَ
بِٱلۡإِيمَٰنِ
لَن
يَضُرُّواْ
ٱللَّهَ
شَيۡـٔٗاۖ
وَلَهُمۡ
عَذَابٌ
أَلِيمٞ
١٧٧
Hakika wale walio nunua ukafiri kwa Imani hawatamdhuru kitu Mwenyezi Mungu, na yao wao ni adhabu chungu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika wale walioibadili Imani kwa kuandama ukafiri, hawatamdhuru Mwenyezi Mungu chochote. Bali madhara ya kitendo chao yatawarudia wenyewe. Na huko Akhera watapata adhabu iumizayo.