Aali-Imran 3:188 لا تحسبن الذين يفرحون بما اتوا ويحبون ان يحمدوا بما لم يفعلوا فلا تحسبنهم بمفازة من العذاب ولهم عذاب اليم ١٨٨
لَا
تَحۡسَبَنَّ
ٱلَّذِينَ
يَفۡرَحُونَ
بِمَآ
أَتَواْ
وَّيُحِبُّونَ
أَن
يُحۡمَدُواْ
بِمَا
لَمۡ
يَفۡعَلُواْ
فَلَا
تَحۡسَبَنَّهُم
بِمَفَازَةٖ
مِّنَ
ٱلۡعَذَابِۖ
وَلَهُمۡ
عَذَابٌ
أَلِيمٞ
١٨٨
Usiwadhanie kabisa wale wanao furahia waliyo yafanya, na wakapenda kusifiwa kwa wasiyo yatenda, usiwadhanie kuwa watasalimika na adhabu. Yao wao ni adhabu chungu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wala msiwadhanie wale wanaofurahia matendo maovu waliyoyafanya, kama Mayahudi, wanafiki na wengineo, na wakawa wanapenda kuwa watu wawataje vizuri kwa mambo ambayo hawakuyafanya, basi msiwadhanie wao kuwa ni wenye kuokoka na adhabu ya Mwenyezi Mungu duniani. Na watakuwa na adhabu iumizayo kesho Akhe…
Wala msiwadhanie wale wanaofurahia matendo maovu waliyoyafanya, kama Mayahudi, wanafiki na wengineo, na wakawa wanapenda kuwa watu wawataje vizuri kwa…