Aali-Imran 3:38 هنالك دعا زكريا ربه قال رب هب لي من لدنك ذرية طيبة انك سميع الدعاء ٣٨
هُنَالِكَ
دَعَا
زَكَرِيَّا
رَبَّهُۥۖ
قَالَ
رَبِّ
هَبۡ
لِي
مِن
لَّدُنكَ
ذُرِّيَّةٗ
طَيِّبَةًۖ
إِنَّكَ
سَمِيعُ
ٱلدُّعَآءِ
٣٨
Pale pale Zakariya akamwomba Mola wake Mlezi, akasema: Mola wangu Mlezi! Nipe kutoka kwako uzao mwema. Wewe ndiye unaye sikia maombi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Alipoona Zakariyyā vile Mwenyezi Mungu Alivyomkirimu Maryam kwa riziki Yake na fadhila Zake, alielekea kwa Mola wake akisema, «Ewe Mola wangu, nipe kutoka Kwako mtoto mwema mwenye kubarikiwa. Wewe ni Msikizi wa maombi ya anayekuomba.»
Alipoona Zakariyyā vile Mwenyezi Mungu Alivyomkirimu Maryam kwa riziki Yake na fadhila Zake, alielekea kwa Mola wake akisema, «Ewe Mola wangu, nipe k…