Aali-Imran 3:43 يا مريم اقنتي لربك واسجدي واركعي مع الراكعين ٤٣
يَٰمَرۡيَمُ
ٱقۡنُتِي
لِرَبِّكِ
وَٱسۡجُدِي
وَٱرۡكَعِي
مَعَ
ٱلرَّٰكِعِينَ
٤٣
Ewe Maryamu! Mnyenyekee Mola Mlezi wako na usujudu na uiname pamoja na wainamao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Ewe Maryam, Endelea daima kumtii Mola wako, simama kwa utulivu na unyenyekevu na usujudu na urukuu pamoja na wenye kurukuu kwa kumshukuru Mola wako juu ya neema Alizokutunukia.»
«Ewe Maryam, Endelea daima kumtii Mola wako, simama kwa utulivu na unyenyekevu na usujudu na urukuu pamoja na wenye kurukuu kwa kumshukuru Mola wako j…