Aali-Imran 3:5 ان الله لا يخفى عليه شيء في الارض ولا في السماء ٥
إِنَّ
ٱللَّهَ
لَا
يَخۡفَىٰ
عَلَيۡهِ
شَيۡءٞ
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
وَلَا
فِي
ٱلسَّمَآءِ
٥
Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika Mwenyezi Mungu, ujuzi Wake umewazunguka viumbe wote. Hakuna kitu chenye kufichika Kwake katika ardhi wala katika mbingu, kiwe kichache au kingi.
Hakika Mwenyezi Mungu, ujuzi Wake umewazunguka viumbe wote. Hakuna kitu chenye kufichika Kwake katika ardhi wala katika mbingu, kiwe kichache au kingi…