Aali-Imran 3:58 ذالك نتلوه عليك من الايات والذكر الحكيم ٥٨
ذَٰلِكَ
نَتۡلُوهُ
عَلَيۡكَ
مِنَ
ٱلۡأٓيَٰتِ
وَٱلذِّكۡرِ
ٱلۡحَكِيمِ
٥٨
Haya tunayo kusomea ni katika Aya na Ukumbusho wenye hikima. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hayo tuliyokusimulia kuhusu habari ya 'Īsā ni miongoni mwa dalili zilizo wazi za usahihi wa utume wako na usahihi wa Qur’ani yenye hekima inayopambanua baina ya haki na batili; haina shaka wala ubishi.
Hayo tuliyokusimulia kuhusu habari ya 'Īsā ni miongoni mwa dalili zilizo wazi za usahihi wa utume wako na usahihi wa Qur’ani yenye hekima inayopambanu…