Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Aali-Imran 3:71

3:71
يا اهل الكتاب لم تلبسون الحق بالباطل وتكتمون الحق وانتم تعلمون ٧١
يَـٰٓأَهْلَ ٱلْكِتَـٰبِ لِمَ تَلْبِسُونَ ٱلْحَقَّ بِٱلْبَـٰطِلِ وَتَكْتُمُونَ ٱلْحَقَّ وَأَنتُمْ تَعْلَمُونَ ٧١
يَٰٓأَهۡلَ
ٱلۡكِتَٰبِ
لِمَ
تَلۡبِسُونَ
ٱلۡحَقَّ
بِٱلۡبَٰطِلِ
وَتَكۡتُمُونَ
ٱلۡحَقَّ
وَأَنتُمۡ
تَعۡلَمُونَ
٧١
Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha uwongo, na kweli mnaificha na hali mnajua? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Enyi watu wa Taurati na Injili! Kwa nini nyinyi mnachanganya haki iliyo ndani ya vitabu vyenu, kwa yale ya ubatilifu mliyoyapotosha na kuya kwa mikono yenu, na kuzificha kwenu sifa za Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ziliomo ndani ya vitabu hivyo viwili na (kuficha kwenu) kwamba Dini yake ndiyo ya haki, na hali nyinyi mnajua hilo?