Aali-Imran 3:72 وقالت طايفة من اهل الكتاب امنوا بالذي انزل على الذين امنوا وجه النهار واكفروا اخره لعلهم يرجعون ٧٢
وَقَالَت
طَّآئِفَةٞ
مِّنۡ
أَهۡلِ
ٱلۡكِتَٰبِ
ءَامِنُواْ
بِٱلَّذِيٓ
أُنزِلَ
عَلَى
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَجۡهَ
ٱلنَّهَارِ
وَٱكۡفُرُوٓاْ
ءَاخِرَهُۥ
لَعَلَّهُمۡ
يَرۡجِعُونَ
٧٢
Na kikundi katika Watu wa Kitabu walisema: Yaaminini yale waliyo teremshiwa wenye kuamini mwanzo wa mchana, na yakataeni mwisho wake; huenda wakarejea. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na pote la watu wa Kitabu miongoni mwa Mayahudi lilisema, «Sadikini kilichoteremshwa kwa walioamini mwanzo wa mchana na mkanushe mwisho wake. Huenda wao wakafanya shaka juu ya dini yao na wakaiacha.
Na pote la watu wa Kitabu miongoni mwa Mayahudi lilisema, «Sadikini kilichoteremshwa kwa walioamini mwanzo wa mchana na mkanushe mwisho wake. Huenda w…