Aali-Imran 3:80 ولا يامركم ان تتخذوا الملايكة والنبيين اربابا ايامركم بالكفر بعد اذ انتم مسلمون ٨٠
وَلَا
يَأۡمُرَكُمۡ
أَن
تَتَّخِذُواْ
ٱلۡمَلَٰٓئِكَةَ
وَٱلنَّبِيِّـۧنَ
أَرۡبَابًاۚ
أَيَأۡمُرُكُم
بِٱلۡكُفۡرِ
بَعۡدَ
إِذۡ
أَنتُم
مُّسۡلِمُونَ
٨٠
Wala hatakuamrisheni kuwafanya Malaika na Manabii kuwa ni miungu. Je, atakuamrisheni ukafiri baada ya kuwa nyinyi Waislamu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na haikuwa kwa yoyote katika wao awaamrishe nyinyi kuwafanya Malaika na Mitume ni wola wasiokuwa Mwenyezi Mungu ambao nyinyi mnawaabudu. Je, inaingia akilini, enyi watu, yeye awaamrishe kumkanusha Mwenyezi Mungu baada ya kufuata kwenu amri yake?
Na haikuwa kwa yoyote katika wao awaamrishe nyinyi kuwafanya Malaika na Mitume ni wola wasiokuwa Mwenyezi Mungu ambao nyinyi mnawaabudu. Je, inaingia …