Aali-Imran 3:82 فمن تولى بعد ذالك فاولايك هم الفاسقون ٨٢
فَمَن
تَوَلَّىٰ
بَعۡدَ
ذَٰلِكَ
فَأُوْلَٰٓئِكَ
هُمُ
ٱلۡفَٰسِقُونَ
٨٢
Watakao geuka baada ya haya basi hao ndio wapotovu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi mwenye kuupa mgongo ulinganizi wa Uislamu baada ya maelezo haya na ahadi hii Aliyoichukuwa Mwenyezi Mungu kutoka kwa Manabii Wake, hao ndio wenye kutoka nje ya dini ya Mwenyezi Mungu na twaa ya Mola wao.
Basi mwenye kuupa mgongo ulinganizi wa Uislamu baada ya maelezo haya na ahadi hii Aliyoichukuwa Mwenyezi Mungu kutoka kwa Manabii Wake, hao ndio wenye…