Ad-Dahr 76:12 وجزاهم بما صبروا جنة وحريرا ١٢
وَجَزَىٰهُم
بِمَا
صَبَرُواْ
جَنَّةٗ
وَحَرِيرٗا
١٢
Na atawajazi Bustani za Peponi na maguo ya hariri kwa vile walivyo subiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na Atawalipa, kwa kuvumilia kwao duniani juu ya utiifu, Pepo iliyo kubwa ambayo kutoka humo watakula wanachokitaka na watavaa humo hariri nyororo,