Ad-Dahr 76:18 عينا فيها تسمى سلسبيلا ١٨
عَيۡنٗا
فِيهَا
تُسَمَّىٰ
سَلۡسَبِيلٗا
١٨
Hiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
watakunwa kutoka kwenye chemchemi iliyoko Peponi inayoitwa Salsabīl, kwa kuwa kinywaji chake kina usalama na kuwa kina ulaini na ladha ya kupendeza.