Ad-Dukhan 44:12 ربنا اكشف عنا العذاب انا مومنون ١٢
رَّبَّنَا
ٱكۡشِفۡ
عَنَّا
ٱلۡعَذَابَ
إِنَّا
مُؤۡمِنُونَ
١٢
Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha waseme wakiomba iondolewe na iepushwe na wao, «Mola wetu! Tuepushie adhabu, kwani ukituepushia sisi ni wenye kukuamini.” (Na hilo lilifanyika na wasiamini kama walivyoahidi).
Kisha waseme wakiomba iondolewe na iepushwe na wao, «Mola wetu! Tuepushie adhabu, kwani ukituepushia sisi ni wenye kukuamini.” (Na hilo lilifanyika na…