Ad-Dukhan 44:14 ثم تولوا عنه وقالوا معلم مجنون ١٤
ثُمَّ
تَوَلَّوۡاْ
عَنۡهُ
وَقَالُواْ
مُعَلَّمٞ
مَّجۡنُونٌ
١٤
Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
kisha wakaenda kinyume na yeye na wakasema kwamba alifundishwa na binadamu au makuhani au mashetani na kwamba yeye ni mwendawazimu na si Mtume?