Ad-Dukhan 44:16 يوم نبطش البطشة الكبرى انا منتقمون ١٦
يَوۡمَ
نَبۡطِشُ
ٱلۡبَطۡشَةَ
ٱلۡكُبۡرَىٰٓ
إِنَّا
مُنتَقِمُونَ
١٦
Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku tutakayowaadhibu makafiri wote adhabu kubwa kabisa Siku ya Kiyama, nayo ni Siku ya kuwatesa kwa kuwalipiza.