Ad-Dukhan 44:32 ولقد اخترناهم على علم على العالمين ٣٢
وَلَقَدِ
ٱخۡتَرۡنَٰهُمۡ
عَلَىٰ
عِلۡمٍ
عَلَى
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٣٢
Na tuliwakhiari kwa ujuzi wetu kuliko walimwengu wenginewe. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika, tuliwachagua Wana wa Isrāīl, kwa kuwajua kwetu, juu ya walimwengu wa zama zao.