Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ad-Dukhan 44:36

44:36
فاتوا باباينا ان كنتم صادقين ٣٦
فَأْتُوا۟ بِـَٔابَآئِنَآ إِن كُنتُمْ صَـٰدِقِينَ ٣٦
فَأۡتُواْ
بِـَٔابَآئِنَآ
إِن
كُنتُمۡ
صَٰدِقِينَ
٣٦
Basi warudisheni baba zetu, ikiwa nyinyi mnasema kweli. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na wanasema pia, «Basi tuletee, ewe Muhammad: wewe na walio pamoja na wewe, wazazi wetu waliokufa, iwapo nyinyi ni wakweli kwamba Mwenyezi Mungu Atawafufua walio makaburini wakiwa hai.”