Ad-Dukhan 44:37 اهم خير ام قوم تبع والذين من قبلهم اهلكناهم انهم كانوا مجرمين ٣٧
أَهُمۡ
خَيۡرٌ
أَمۡ
قَوۡمُ
تُبَّعٖ
وَٱلَّذِينَ
مِن
قَبۡلِهِمۡ
أَهۡلَكۡنَٰهُمۡۚ
إِنَّهُمۡ
كَانُواْ
مُجۡرِمِينَ
٣٧
Je! Ni wao bora au watu wa Tubbaa' na walio kuwa kabla yao? Tuliwaangamiza. Hakika hao walikuwa wakosefu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, hawa washirikina ni bora au watu wa Tubba’ wa Himyar na wale waliokuwa kabla yao miongoni mwa ummah waliomkanusha Mola wao? Tuliwaangamiza kwa uhalifu wao na kukanusha kwao. Hawa washirikina si bora kuliko hao ili tuwasamehe na tusiwaangamize, na hali wao wanamkanusha Mwenyezi Mungu.
Je, hawa washirikina ni bora au watu wa Tubba’ wa Himyar na wale waliokuwa kabla yao miongoni mwa ummah waliomkanusha Mola wao? Tuliwaangamiza kwa uha…