Ad-Dukhan 44:47 خذوه فاعتلوه الى سواء الجحيم ٤٧
خُذُوهُ
فَٱعۡتِلُوهُ
إِلَىٰ
سَوَآءِ
ٱلۡجَحِيمِ
٤٧
(Itasemwa:) Mkamateni na mtupeni katikati ya Jahannamu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mchukueni huyu mwenye dhambi aliyeasi mumsukume na mumuongoze kwa nguvu hadi katikati ya moto wa Jaḥīm Siku ya Kiyama.