Ad-Dukhan 44:51 ان المتقين في مقام امين ٥١
إِنَّ
ٱلۡمُتَّقِينَ
فِي
مَقَامٍ
أَمِينٖ
٥١
Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika ya wale wanaomcha Mwenyezi Mungu, kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo yake duniani, watakuwa na mahali pa kukaa, hali ya kuwa wameaminika na magonjwa, masikitiko na mengineyo.
Hakika ya wale wanaomcha Mwenyezi Mungu, kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo yake duniani, watakuwa na mahali pa kukaa, hali ya kuwa wamea…