Ad-Dukhan 44:56 لا يذوقون فيها الموت الا الموتة الاولى ووقاهم عذاب الجحيم ٥٦
لَا
يَذُوقُونَ
فِيهَا
ٱلۡمَوۡتَ
إِلَّا
ٱلۡمَوۡتَةَ
ٱلۡأُولَىٰۖ
وَوَقَىٰهُمۡ
عَذَابَ
ٱلۡجَحِيمِ
٥٦
Humo hawataonja mauti ila mauti yale ya kwanza, na (Mwenyezi Mungu) atawalinda na adhabu ya Jahannamu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hawataonja kifo, wachamungu hao, huko Peponi, baada ya kifo cha kwanza walichokionja duniani. Na Mwenyezi Mungu Atawakinga , hao wachamungu,na adhabu ya moto wa Jaḥīm, kwa wema Wake na hisani itokayo Kwake, Aliyetakasika na kuwa juu.
Hawataonja kifo, wachamungu hao, huko Peponi, baada ya kifo cha kwanza walichokionja duniani. Na Mwenyezi Mungu Atawakinga , hao wachamungu,na adhabu …