Ad-Dukhan 44:9 بل هم في شك يلعبون ٩
بَلۡ
هُمۡ
فِي
شَكّٖ
يَلۡعَبُونَ
٩
Lakini wao wanacheza katika shaka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Bali hawa washirikina wanaifanyia shaka haki; wao wanapumbaa na kucheza na hawaiamini.