Adh-Dhaariyat 51:18 وبالاسحار هم يستغفرون ١٨
وَبِٱلۡأَسۡحَارِ
هُمۡ
يَسۡتَغۡفِرُونَ
١٨
Na kabla ya alfajiri wakiomba maghfira. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na katika nyakati za mwisho wa usiku, kabla ya alfajiri kwa muda mchache, walikuwa wakimuomba Mwenyezi Mungu msamaha wa dhambi zao.