Adh-Dhaariyat 51:22 وفي السماء رزقكم وما توعدون ٢٢
وَفِي
ٱلسَّمَآءِ
رِزۡقُكُمۡ
وَمَا
تُوعَدُونَ
٢٢
Na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyo ahidiwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na mbinguni kuna riziki yenu na yale mnayoahidiwa ya kheri na shari, na thawabu na mateso na yasiyokuwa hayo. Yote yameandikwa na kukadiriwa.