Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Adh-Dhaariyat 51:38

51:38
وفي موسى اذ ارسلناه الى فرعون بسلطان مبين ٣٨
وَفِى مُوسَىٰٓ إِذْ أَرْسَلْنَـٰهُ إِلَىٰ فِرْعَوْنَ بِسُلْطَـٰنٍۢ مُّبِينٍۢ ٣٨
وَفِي
مُوسَىٰٓ
إِذۡ
أَرۡسَلۡنَٰهُ
إِلَىٰ
فِرۡعَوۡنَ
بِسُلۡطَٰنٖ
مُّبِينٖ
٣٨
Na katika khabari za Musa, tulipo mtuma kwa Firauni na hoja wazi. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na katika kumtumiliza kwetu Mūsā, aende kwa Fir'awn na wakuu wa utawala wake, kwa aya na miujiza yenye kushinda, kuna alama kwa wanaoogopa adhabu kali.