Adh-Dhaariyat 51:5 انما توعدون لصادق ٥
إِنَّمَا
تُوعَدُونَ
لَصَادِقٞ
٥
Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka ni kweli! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
kwamba mnayoahidiwa, enyi watu, ya kufufuliwa na kuhesabiwa ni tukio lenye kuwa kwa kweli na yakini,