Adh-Dhaariyat 51:54 فتول عنهم فما انت بملوم ٥٤
فَتَوَلَّ
عَنۡهُمۡ
فَمَآ
أَنتَ
بِمَلُومٖ
٥٤
Basi waachilie mbali, nawe hulaumiwi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wapuuze hao washirikina, ewe Mtume, mpaka itakapokujia wewe amri ya Mwenyezi Mungu kuhusu wao, hapatakuwa na yoyote mwenye kukulaumu, kwani ushafikisha yale uliyotumilizwa kwayo.
Wapuuze hao washirikina, ewe Mtume, mpaka itakapokujia wewe amri ya Mwenyezi Mungu kuhusu wao, hapatakuwa na yoyote mwenye kukulaumu, kwani ushafikish…