Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Adh-Dhaariyat 51:60

51:60
فويل للذين كفروا من يومهم الذي يوعدون ٦٠
فَوَيْلٌۭ لِّلَّذِينَ كَفَرُوا۟ مِن يَوْمِهِمُ ٱلَّذِى يُوعَدُونَ ٦٠
فَوَيۡلٞ
لِّلَّذِينَ
كَفَرُواْ
مِن
يَوۡمِهِمُ
ٱلَّذِي
يُوعَدُونَ
٦٠
Ole wao walio ikanusha siku yao waliyo ahidiwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
maangamivu na usumbufu ni wa wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, kutokana na Siku yao wanayoahidiwa kuteremkiwa na adhabu, nayo ni Siku ya Kiyama.