Adh-Dhuhaa 93:6 الم يجدك يتيما فاوى ٦
أَلَمۡ
يَجِدۡكَ
يَتِيمٗا
فَـَٔاوَىٰ
٦
Kwani hakukukuta yatima akakupa makaazi? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani Hakukupata, kabla ya hapo, kuwa ni yatima Akakukusanya na kukutunza.