Al-Aaraf 7:107 فالقى عصاه فاذا هي ثعبان مبين ١٠٧
فَأَلۡقَىٰ
عَصَاهُ
فَإِذَا
هِيَ
ثُعۡبَانٞ
مُّبِينٞ
١٠٧
Basi akaitupa fimbo yake, na mara ikawa nyoka dhaahiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo Mūsā aliitupa fimbo yake na ikageuka nyoka mkubwa anayeonekana waziwazi.