Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Aaraf 7:108

7:108
ونزع يده فاذا هي بيضاء للناظرين ١٠٨
وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِىَ بَيْضَآءُ لِلنَّـٰظِرِينَ ١٠٨
وَنَزَعَ
يَدَهُۥ
فَإِذَا
هِيَ
بَيۡضَآءُ
لِلنَّٰظِرِينَ
١٠٨
Na akatoa mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na akauvuta mkono wake kutoka kwenye uwazi wa kanzu iliyofunguliwa kifuani au chini ya kapwa lake, na papo hapo ukawa mweupe kama maziwa usio na mbalanga, ukiwa ni alama kwa Fir'awn; akiurejesha unarudi rangi yake ya mwanzo, kama ulivyo mwili wake.