Wakasema: Mwache kidogo yeye na nduguye, na watume mijini wakusanyao,. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Wakasema waliohudhuria mjadala wa Mūsā miongoni mwa mabwana wa watu wa Fir’awn na wakubwa wao, «Mfanye Mūsā na Hārūn wangojee, na upeleke askari kwenye miji ya Misri na majimbo yake.