Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Aaraf 7:130

7:130
ولقد اخذنا ال فرعون بالسنين ونقص من الثمرات لعلهم يذكرون ١٣٠
وَلَقَدْ أَخَذْنَآ ءَالَ فِرْعَوْنَ بِٱلسِّنِينَ وَنَقْصٍۢ مِّنَ ٱلثَّمَرَٰتِ لَعَلَّهُمْ يَذَّكَّرُونَ ١٣٠
وَلَقَدۡ
أَخَذۡنَآ
ءَالَ
فِرۡعَوۡنَ
بِٱلسِّنِينَ
وَنَقۡصٖ
مِّنَ
ٱلثَّمَرَٰتِ
لَعَلَّهُمۡ
يَذَّكَّرُونَ
١٣٠
Na hakika tuliwaadhibu watu wa Firauni kwa miyaka (ya ukame) na kwa upungufu wa mazao, ili wapate kukumbuka. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika tulimpa Fir'awn na watu wake mtihani wa chaka na ukame na upungufu wa matunda yao na nafaka zao ili wakumbuke na wakome, waache upotevu wao na wakimbilie kwa Mola wao kwa kutubia.