Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Aaraf 7:138

7:138
وجاوزنا ببني اسراييل البحر فاتوا على قوم يعكفون على اصنام لهم قالوا يا موسى اجعل لنا الاها كما لهم الهة قال انكم قوم تجهلون ١٣٨
وَجَـٰوَزْنَا بِبَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ ٱلْبَحْرَ فَأَتَوْا۟ عَلَىٰ قَوْمٍۢ يَعْكُفُونَ عَلَىٰٓ أَصْنَامٍۢ لَّهُمْ ۚ قَالُوا۟ يَـٰمُوسَى ٱجْعَل لَّنَآ إِلَـٰهًۭا كَمَا لَهُمْ ءَالِهَةٌۭ ۚ قَالَ إِنَّكُمْ قَوْمٌۭ تَجْهَلُونَ ١٣٨
وَجَٰوَزۡنَا
بِبَنِيٓ
إِسۡرَٰٓءِيلَ
ٱلۡبَحۡرَ
فَأَتَوۡاْ
عَلَىٰ
قَوۡمٖ
يَعۡكُفُونَ
عَلَىٰٓ
أَصۡنَامٖ
لَّهُمۡۚ
قَالُواْ
يَٰمُوسَى
ٱجۡعَل
لَّنَآ
إِلَٰهٗا
كَمَا
لَهُمۡ
ءَالِهَةٞۚ
قَالَ
إِنَّكُمۡ
قَوۡمٞ
تَجۡهَلُونَ
١٣٨
Na tukawavusha bahari Wana wa Israili, wakafika kwa watu wanao abudu masanamu yao. Wakasema: Ewe Musa! Hebu tufanyie na sisi miungu kama hawa walivyo kuwa na miungu. Musa akasema: Hakika nyinyi ni watu msio jua kitu 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na tuliwakatia Wana wa Isrāīl bahari, wakapita kwa watu waliokuwa wamekaa na kuendelea kuabudu masanamu wao. Wana wa Isrāīl wakasema, «Tufanyie, ewe Mūsā, sanamu tupate kumuabudu na kumfanya mungu kama hawa watu walivyo na masanamu wanaowaabudu.» Mūsā akawaambia, «Hakika yenu nyinyi,enyi watu, ni wajinga wa kujua utukufu wa Mwenyezi Mungu, na hamjui kwamba ibada haifai kufanyiwa yoyote isipokuwa Mwenyezi Mungu, Aliye Mmoja, Mwenye kutendesha nguvu.