Al-Aaraf 7:139 ان هاولاء متبر ما هم فيه وباطل ما كانوا يعملون ١٣٩
إِنَّ
هَٰٓؤُلَآءِ
مُتَبَّرٞ
مَّا
هُمۡ
فِيهِ
وَبَٰطِلٞ
مَّا
كَانُواْ
يَعۡمَلُونَ
١٣٩
Hakika haya waliyo nayo watu hawa yatakuja angamia, na hayo waliyo kuwa wakiyafanya yamepotea bure. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika hawa wanaowakalia hawa masanamu, ushirikina waliomo ndani yake umeangamizwa, na ni yenye kuangamiza na ni ya urongo yale waliokuwa wakiyafanya ya kuwaabudu masanamu hao ambao hawawazuilii adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwashukia.
Hakika hawa wanaowakalia hawa masanamu, ushirikina waliomo ndani yake umeangamizwa, na ni yenye kuangamiza na ni ya urongo yale waliokuwa wakiyafanya …