Al-Aaraf 7:16 قال فبما اغويتني لاقعدن لهم صراطك المستقيم ١٦
قَالَ
فَبِمَآ
أَغۡوَيۡتَنِي
لَأَقۡعُدَنَّ
لَهُمۡ
صِرَٰطَكَ
ٱلۡمُسۡتَقِيمَ
١٦
Akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Iblisi akasema, Mwenyezi Mungu Amlaani, «Kwa sababu ya kuwa wewe umenipoteza, nitafanya bidii katika kuwapoteza binadamu wawe kando ya njia yako iliyolingana sawa na nitawazuia wao wasiuuandame Uislamu ambao wanasibiana na umbile lao ulilowaumbia.
Iblisi akasema, Mwenyezi Mungu Amlaani, «Kwa sababu ya kuwa wewe umenipoteza, nitafanya bidii katika kuwapoteza binadamu wawe kando ya njia yako iliyo…